Akili Test

14.2M10,000+
शिक्षा देने वाले
3.0
Akili Test Screen Shot 0Akili Test Screen Shot 1Akili Test Screen Shot 2Akili Test Screen Shot 3Akili Test Screen Shot 4Akili Test Screen Shot 5Akili Test Screen Shot 6Akili Test Screen Shot 7Akili Test Screen Shot 8Akili Test Screen Shot 9Akili Test Screen Shot 10Akili Test Screen Shot 11Akili Test Screen Shot 12

Akili Test

Akili test hukupa maswali tofauti kwa ajili ya kujua uwezo wako wa kufikiri. Na maswali hayo yapo katika kujua uwezo wako wa hesabu,kung`amua baadhi ya mambo na mengine kwa uwezo wako wa kufikiria utaweza kuyapata. Kama swali utakua umepata basi utaonyeshwa alama ya vema na kama umekosa basi utaona alama ya kosa. Na mwisho utaona umepata ngapi katika maswali mangapi. Pia kuna sehemu ya 'High Score Board' hii kuweza kukuonyesha tatu bora ulizopata nyingi, kwa mfano umefanya maswali mara 50 huonyesha mara 3 ambazo uliweza kupata nyingi Pia unaweza ukarudia kufanya Akili test mara nyingi uwezavyo ila utabadilishiwa baadhi ya maswali. Akili Test ni kwa ajili ya sababu za kuelemisha
और दिखाओ

नया क्या है

version 1.5
Kwenye hii updated version baadhi ya maswali tofauti yameongezeka. Pia kuna vitu vilikua haviendi sawa vimerekebishwa.

जानकारी